468 - (خ) عَنْ عُثْمَانَ رضي الله عنه، عَنِ النَّبِيِّ صلّى الله عليه وسلّم قَالَ: (خَيْرُكُمْ مَنْ تَعَلَّمَ الْقْرْآنَ وَعَلَّمَهُ) .
Kutoka kwa Othmani bin A'ffani -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Kutoka kwa Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Amesema: "Mbora wenu ni yule aliyejifunza Qur'ani na akaifundisha".
[خ5027]