750 - عَنِ النُّعْمَانِ بْنِ بَشِيرٍ، عَنِ النَّبِيِّ صلّى الله عليه وسلّم قَالَ: (الدُّعَاءُ هُوَ الْعِبَادَةُ، قَالَ رَبُّكُمْ: {ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ}) .
Kutoka kwa Nu'man bin Bashir Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake Amesema: "Hakika dua ndiyo ibada" Na katika hadithi ya Anas imekuja kwa lafudhi ya: "Dua ni ubongo wa ibada".
قوله تعالى: {ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ} [60]
[د1479/ ت2969/ جه3828]
* صحيح.